Watu wanasema kuwa ukweli siku zote utasimama daima, sina mamlaka yakupingana na kauli hii. Wapo watu ambao siku zote wanaweza kuhangaika kutaka kubadilisha kitu ambacho kamwe hakiwezi kubadilika lakini naomba nieleweke kwenye hili, hili suala lipo kwenye mchakato wsa vitu vinanvyotuzunguka na kamwe halipo kwenye mamlaka ya vitu ambavyo tunaweza kuvifanya na kuvubadilisha ktk maisha yetu, nisemavyo hivi nina maanish, kwa mfano wewe umezaliwa kwenye familia duni, msemo wangu haulengi kukupa tasfiri ya kwamba huwezi kubadilisha hali uliyonayo kimaisha na kuwa tajiri au kuishi maisha yenye afadhali.
Niliwahi kuambiwa msemo fulani na rafiki yangu mmoja (true of the truest friends of mine) anaitwa Davies (Dizzo) kwamba, unachoshindwa kukitofautisha, ndicho unachokifananisha, nadhani kwenye hili kuna ukweli mkubwa sana tena ukizingatia tumezungukwa na vitu vyenye mifanano ya kila aina, lakini naomba niliweke hili bayana kwa maana ya kwamba wapo watu waliouchukulia uhalisia wa maisha yao kuwa ndivyo mMungu alivyowapangia lakini kumbe kwenye hili wanamkosea muumba wao, kwani kwa wao kupewa pumzi bure, Mungu ana makusudi makubwa sana kwao. Thamini muda wako vizuri na fanya kila linalowezekana katika kujikwamua, usikate tamaa, mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema kuwa, ni wewe tu ndio pekee unayeweza kutumia uwezo wako( you are the only person who can use your own abilities) hivyo basi seriakli ipo kwa ajili yakukupa wewe msaada lakini haipo kwa ajili yakuhakikishia wewe maisha uyatakayo, nakumbuka katika mahojiano aliyowahi kufanyiwa mcheza kikapu mashuhuri wa Tanzania, Marekani, Hasheem Thabiti alisema kuwa,"ukingojea fulani akutoe utangojea hadi kesho"(trh 29 Aug 2009, redio one) aliendelea kusema ktk mahojiano yake kuwa mafanikio yake yametokana na juhudi zake mwenyewe. Hivyo ndugu zangu siku zote tunapaswa tuicheze sehemu yetu halafu serikali kama serikali itacheza nafasi yake.
Kuna mengi ambayo mwanajamii kama mwanajamii anweza kuyafanya, kw3anza kabisa ni kutafuta fursa husika na za halali halafu kuzifanyia kazi, lakini tatizo letu watanzania tunapenda vitu rahisi mnoooo,kiasi kwamba wengi tumejikita ktk kuyafanya yale yale tuliyozoea kuyafanya, hatujipi nafasi yakujifunza toka kwenye makosa yetu tuliyoyafanya au tunayoyafanya kila kukicha, kuna mwanafalsa mmoja aliwahi kusema kuwa, If you do what you have always done, you will get what you have always Got, hii ni kweli kabisa lakini pia tunaambiwa kuwa msingi wa maisha yetu miaka kumi ijayo unajengwa na maamuzi tunayoyafanya leo, hivyo basi fanya maamuzi sahihi leo, angalia sana juu ukifanyacho na hakikisha kuwa unakifanya kwa usahihi, Rome wasn't built at a single Go, so stay put and always don't lose focus.
Wanauchumi na watu wa biashara wanasema kuwa, ili mtu aweze kufanikwa anahitaji vitu vikuu viwili, cha kwanza ni jitihada? bidii yake yakumfanya afanikiwe na cha pili ni fursa halali itakayomfanikisha. Kwenye hili la pili ndipo penye mgogoro mkubwa kwani watu wengi wana hari na hasira yakufanikiwa lakini fursa wanazozitumia ndizo zinakuwa kikwazo, jaribu kufikiria kwenye hicho ukifanyacho(aidha unafanya biashara au umeajiriwa) pmj na jitihada uliyonayo ni lini unaweza kutengeneza milioni moja( Tsh 1,000,000) kwa mwezi? lakini je wewe hauna jitihada?
Jipe nafasi yakujichunguza leo halafu jifanyie tathmini, baada ya miaka kumi ijayo utakuwa wapi?
Na kama unahitaji kujua fursa itakayokupatia zaidi ya hiyo milioni kwa mwezi basi usisite kuwasiliana nami, 0714206089.
Inasemakana kuwa maisha ya mtu hayajengwi na vitu avifanyavyo bali hujengwa na reaction yake juu ya vitu vinavyomtokea.
Kwa kumalizia, naomba niweke bayana juu ya title yangu hapo juu, Kisichobadilika usikibadilishe, hii ni kauli au sentensi ambayo kwa uu nje wake inaonekana ni kweli lakini kwa undani wake ikiangaliwa kwa upana in falsafa kubwa sana,jaribu kuichunguza.
muelimishaji2009

No comments:
Post a Comment