Thursday, December 30, 2010

Kheri ya Mwaka Mpya

Nawatakia wadau wote wa Blogsite yangu kheri ya mwaka mpya wa 2011.
Imani yangu ni kwamba huu ndio muda muafaka wakutoruhusu makosa uliyoyafanya mwaka 2010 ambao upo ukingoni kutojirudia ktk mwaka mwingine wa 2011.
kama uliishi vibaya basi ni nafasi nyingine yakusogea karibu na malengo yako, abudu ktk malengo yako, ni kinyume cha sheria za kimaumbile kuishi nyuma, Siku zote ishi ktk wakati uliopo na tarajia mengi ktk wakati ujao, thamini utu, jali ktk upendo na wekeza imani yako ktk kujitoa kwa ajili ya wengine, wanasema unaposaidia wengine juu ya shida na matatizo yao basi ya kwako yanaisha bila kuhangaika kivyovyote, pendelea kuishi ktk kutoa na mara chache jiweke ktk kupokea.
Panga malengo yako na siku zote tumia muda kwa manufaa yako.
Ni hayo tu, sina mengi.





muelimishaji2010

No comments:

Post a Comment