Unaweza kufanikisha chochote ktk maisha yako, kama utaamini ktk unachokifanya na kama utajiamini wewe mwenyewe na pia ukikubali kujikana kwenye baadhi ya vitu. Somtimes inabidi ukubali kupoteza sehemu fulani ya furaha ili ujiweke karibu na huzuni kwa muda kwa maandalizi ya furaha yakudumu. Jiamini, jithamini.
muelimishaji2010
No comments:
Post a Comment