Wednesday, June 23, 2010

Top 5 ya Wanaoongoza kwa Mijihela Afirka

Huyu anaitwa Mohamed Al Amoudi (Ethiopia) namba 1 Afrika ila kidunia ni wa 43, utajiri wa Dola Bilioni 9 za kimarekani.
Wa 2 anaitwa Nicky Oppenheimer(South Afrika) kidunia ni wa 98, utajiri wa Dola bilioni 5 za Kimarekani
Wa 3 ni Naseef Sawarisi (Egypt) kidunia ni wa 196, utajiri wa Dola 3.1 za Kimarekani.
Wa 4 ni Naguib Sawaris (Egypt) ni ndugu na Naseef, kidunia ni wa 205, utajiri wa dola 3.0 za Kimarekani.
Wa 5 ni Aliko Dangote (Nigeria) kidunia ni wa 261, utajiri wa Dola Bilioni 2.5 za Kimarekani


muelimishaji2010

No comments:

Post a Comment