Friday, June 25, 2010

Ipi ni Zawadi Bora kwa Mtoto?

Rais wetu akimpatia Mtoto zawadi(Sijui ni pipi ua Vijisenti)
Hawa ni wanafunzi huko Chunya(Hali halisi ya mazingira wanayosomea)

Sasa jaribu kujiuliza ni kipi bora kati ya hivi vitu viwili?
1.Zawadi ya Pipi(au hela)
2. Zawadi ya mazingira bora ya kupatia elimu

TAFAKARI!, CHUKUA HATUA............







muelimishaji2010

No comments:

Post a Comment