
WADAU WA 1st Year Law wakimwaga shangwe kwa ushindi wa goli 6-0 dhidi ya Theology na Music

Mechi ikiwa inaendelea kati ya Fisrt year Law na Theology na Music ktk kuwania kombe la Mbuzi

WADAU WACHEZA KIKAPU NAO HAWAKUWA NYUMA.

GOLI NYANDA WA 1st year golini.

Kwa bahati mbaya Wadau wa Theology na Music walipoteza mechi zote mbili
muelimishaji2009
No comments:
Post a Comment