Thursday, January 21, 2010

Our societies have been SET to React instead of Preventing.

Hizi ni nyaya za Umeme zilizopo ktk barabara ya AICC Arusha zikiwa zinamaua juu yake
Hili tatizo linatazamwa tu na mamlaka husika, hakuna hatua madhubuti zinazochukuliwa ktk kuziondoa.
Hivi ndivyo jamii zetu zilivyo, tuna tabia yakugundua matatizo baada ya janga kutokea.


muelimishaji2009

No comments:

Post a Comment