MAONI YAKO.
Hello wadau nachukua fursa hii kuwakumbusha kuwa mnaweza kupost maoni yenu juu ya mada yeyote iliyotelewa kwenye blog hii, nitafurahi kama nitapata maoni yako, hii itasaidia sana.Kama kuna mada yeyote iliyokufurahisha au kukukera unayonafasi yakutoa maoni yako, na pia kama una chochote unachopenda kiwafikie watanzania unaweza kunitumia kupitia email address yangu inayoonekana kwenye profile yangu ili niweze kuipost kwenye blog. Asanteni sana.muelimishaji2009
No comments:
Post a Comment