Sunday, December 13, 2009

NGUZO 9 ZA MAFUNZO YA KARATE

The educator na George.
1.Kwa uadilifu chunga tabia yako
2.Jifunze nakufanya mazoezi kadri ya uwezo wako
3.Jifunze nakufanya mazoezi kwa moyo mmoja
4.Uwe mwenye tabia ya upole, umadhubuti, uwepesi na ulaini
5.Tunza afya yako
6.Maisha yako yawe ya kaiwaida yasiwe na makuu
7.Usiwe mwenye kujiaminisha sana wewe mwenyewe
8.Mwili na fikra zako ziwe kitu kimoja
9.Mafunzo hayana mwisho

Mnaosema karate mchezo wa kihuni mnaona nguzo hizo? je kuna mtu anaweza pinga moja kati ya hizo nguzo kuwa ni mbaya? Mambo hayapo kama unavyofikiria!!!!
muelimishaji2009

No comments:

Post a Comment