Sunday, December 13, 2009

Machampion wa Ukweli.

Machampion,Esther na Gilian
We with the youngest millionaire in Tz, Wency.

Maganga the Great Champion

The educator with Enos Salema( The Greatest Champion)
Ilikuwa siku ya Success day ndani ya Corridor Springs Hotel,Arusha. Watu waliopanda vyeo na kufanikiwa ktk Forever living walipokuwa wanatambuliwa, it was really good na tulijifunza mengi sana.Hapo nikiwa na mzee wa Full kipupwe na range Rover lake, Mr Kayombo.
muelimishaji2009

No comments:

Post a Comment